One Cycling Community

Cross Tanzania

A complete digital platform designed to manage events registration, riders, sponsors, volunteers, and cycling data tracking across Tanzania.

Get Started Free
20+
Regions
500+
Cyclists
100+
Events
Scroll
CTCMS Founder
Founder & CEO
Cross Tanzania Cycling
Welcome Note

Karibu CTCMS
Tanzania

Tunakukaribisha kwenye jukwaa letu rasmi la kuunganisha jamii ya waendesha baiskeli Tanzania. Hapa unapata taarifa, matukio, na mfumo wa kisasa wa usimamizi wa shughuli za baiskeli.

"CTCMS imejengwa kurahisisha usajili wa matukio, uendeshaji wa mashindano, usimamizi wa wanachama, na wadau—kwa mfumo salama na wa kisasa."

Why CTCMS?

Built for the Cycling Community

Tunarahisisha kila hatua ya michezo ya baiskeli Tanzania kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Secure Accounts

Role-based access kwa kila aina ya mtumiaji—Rider, Admin, Sponsor.

Events Manager

Ratiba, usajili, na uendeshaji wa matukio kwa wepesi zaidi.

Community

Ungana na maelfu ya waendesha baiskeli nchi nzima.

Analytics

Pata ripoti na takwimu sahihi za matukio na wanachama.

Live Events

Upcoming rides & competitions

View All Events
MWANZA CITY CYCLING CHALLENGE
OPEN APPLICATIONS OPEN
MWANZA CITY CYCLING CHALLENGE
Mwanza

Hili ni shindano la siku moja litakalowakutanisha wapenda baiskeli kutoka maeneo mbalimbali. Shindano hili litaambatana na sherehe kubwa ya uzinduzi wa Cross Tanzania Cycling Sports Promotion pamoja na Lake Zone Cycling Tour. Sherehe hiyo itafanyika katika viwanja vya CCM Kirumba, Mwanza. Mshindi wa kwanza atajishindia zawadi ya TSh Milioni 1 pamoja na baiskeli. Kutakuwa na burudani mbalimbali ikiwemo: Ngoma za asili Wasanii mbalimbali Mashindano ya baiskeli kwa walemavu Mkesha maalum wenye vinywaji na nyama choma

Distance
150 KM
Slots Left
150
Jun 07, 2026
Apply Now
LAKE ZONE CYCLING TOUR
PLANNED APPLICATIONS OPEN
LAKE ZONE CYCLING TOUR
Mwanza

Hili ni shindano la kimataifa litakaloshirikisha timu mbalimbali kutoka Afrika na nje ya Afrika. Mashindano yatazunguka mikoa yote ya Kanda ya Ziwa kwa lengo la kukuza michezo, utalii na mshikamano wa jamii kupitia mchezo wa baiskeli. Timu na washiriki wote wanakaribishwa kushiriki katika tukio hili kubwa la kihistoria.

Distance
900 KM
Slots Left
150
Jul 01, 2026
Closed
Supported By

Sponsors & Partners

Bank of Tanzania
TANESCO
TPA
Airport
TAMESA
Community Feedback
Newsletter

Stay in the loop

Pata taarifa za events mpya, community rides, na updates za CTCMS moja kwa moja kwenye inbox yako.

No spam. Only cycling goodness.