About Cross Tanzania Cycling
Cross Tanzania Cycling Management System
Cross Tanzania Cycling Management System (CTCMS) ni mfumo wa kisasa unaounganisha jamii ya baiskeli Tanzania—matukio, wanachama, wadau, na taarifa zote sehemu moja.
Mission
Cross Tanzania. One Cycling Community.
Cross Tanzania ni dhamira ya kuunganisha nchi nzima kupitia baiskeli—kukutanisha mikoa, tamaduni, na jamii. CTCMS inarahisisha usimamizi wa matukio, usajili, mawasiliano, na taarifa za wadau kwa njia ya kisasa na salama.
Events zenye ratiba, usajili, status na nafasi.
Community updates, blog posts, na taarifa za rides.
Partners na sponsors kuonekana kwa uwazi na ushirikiano.
CTCMS
Build. Ride. Grow.
Usimamizi wa matukio na mawasiliano—kwa waendesha baiskeli, organizers, na sponsors.