Blog Post

Sponsors & Partners Spotlight

Mar 21, 2026

Sponsors & Partners Spotlight

Jinsi tunavyoshirikiana na wadau kuendeleza michezo ya baiskeli na matukio Tanzania.

Wadau ni nguzo muhimu kwa ukuaji wa michezo ya baiskeli: miundombinu, usalama, na mafunzo.

CTCMS inasaidia kuonyesha mchango wa sponsors, kurahisisha ufuatiliaji wa ushirikiano, na reporting.

Karibu tushirikiane kujenga taifa lenye afya na burudani kupitia baiskeli.

Share
Link copied.
Comments

Habari fupi, tips, na updates za Cross Tanzania Cycling na matukio ya baiskeli.