Blog Post
CTCMS Launch Updates
Mar 26, 2026
Taarifa fupi kuhusu uzinduzi wa mfumo na maboresho ya mwanzo kwa wanachama na wadau.
CTCMS ni jukwaa la kisasa la kusimamia matukio ya baiskeli, wanachama, na wadau (sponsors/partners).
Lengo letu ni kurahisisha usajili, taarifa za matukio, ufuatiliaji wa ushiriki, na uwazi wa mawasiliano.
Endelea kutufuatilia kwa updates mpya, features, na matukio yanayokuja ndani ya mikoa mbalimbali.
Comments
Habari fupi, tips, na updates za Cross Tanzania Cycling na matukio ya baiskeli.